Tuesday, December 27, 2011

WANA SUPER KAMANYORA,wawachezesha mashabiki kwenye mvua...!!



Super Kamanyora Band inayopigia mzigo wake ndani ya VILLA PARK RESORT,iliwawarusha wateja wao siku ya BOXING DAY, huku mvua ikinyesha..!Nyimbo zenye mashairi mazuri na waimbaji mahiri ilikuwa chachu tosha ya kuwafanya wasitoke na kuendelea kuserebuka...!!

No comments:

Post a Comment