Tuesday, February 7, 2012

Piki piki ni Deal hapa Town...!

Bodaboda aka tukutuku aka Okada kama zinavyoitwa sehemu tofauti  za Africa,Zimeonekana kuwa deal kutokana na watumiaji kuongezeka kila kukicha pasipo kujari ajari kibao zinazotokea daily,Dada wa kizungu katika picha  akienjoy usafiri huo...!

1 comment:

  1. Bro Baraka blog yako nzuri sana ila naomba tuwekee picha za Mwanza mjini.

    ReplyDelete