Tuesday, February 7, 2012

Piki piki ni Deal hapa Town...!

Bodaboda aka tukutuku aka Okada kama zinavyoitwa sehemu tofauti  za Africa,Zimeonekana kuwa deal kutokana na watumiaji kuongezeka kila kukicha pasipo kujari ajari kibao zinazotokea daily,Dada wa kizungu katika picha  akienjoy usafiri huo...!

Thursday, January 26, 2012

ONE LUV FX WAZINDUA VIDEO YA SAL-MO "WAONYESHE"


Ezden the ROCKER,Radio presenter at Kiss Fm ndie aliekuwa akiendesha mpango mzima wa uzinduzi wa video ya "WAONYESHE"Katikati ni Mwanadada alieuza nyago katika video hiyo na wa kwanza kulia ni Director/Editor wa ONE LOVE FX SHAIBU.

 Steve kutoka Barmedas.tv akichukua matukio
.Hypa'director,editor na filmmaker katika Kampuni ya One Love Fx pembeni na Zombi mwenye mic'akitoa maoni juu ya video hiyo...!!
Crowd kubwa ya fanz wa muziki huu wa Bongo fleva ilijitokeza kushow luv..!!!
Meneja wa The Stone Club'ALLY Coco ambae pia ni mdau mkubwa wa MWANZA KWANZA alipata pia fursa ya kutoa maoni yake,pia alifikisha ombi lake ktk kampuni ya ONE LOVE FX kusaidia kutoa video ya ngoma moja kutoka MWANZA KWANZA UNIT...!!!

TIDDY HOTTER'Audio producer kutoka ONE LOVE FX wa kwanza kushoto na wa pili ni Ado Radio Presenter wakitazama ngoma katika screen kubwa iliyopo  ukumbini...!

Sunday, January 1, 2012

FM ACADEMY wafungia mwaka ROCK CITY.


 Muimbaji na Star wa Bongo Movie PATCHO MWAMBA akiimba
 NYOSHI EL SAADAT nje ya ukumbi wa Gold Crest aki-holla mbele ya camera ya Mwara RAINBOW blog
FM ACADEMY aka Wazee wa NGWASUMA walifunga 2011na kuukaribisha  mwaka 2012 ndani ya jiji la Mawe-Rock City kwa Bonge la show huku wakitambulisha style mpya na ngoma mpya ...!Mpango mzima ulifanyika katika ukumbi wa GOLD CREST

Dj Summer aua ndege wawili kwa jiwe moja..!Mkesha wa mwaka mpya

 cake nzuri iliyoandaliwa mahsusi kwa ajiri ya birthday ya DJ Summer...!
 Bonge ya Saplaiz  amfanyia mchumba wake Ney
 Hug me mpenzi Chocolate

DJ Ally B,akikisanua kabla ya dakika tano kuelelekea mwaka mpya 2012...!!


      Usiku wa mkesha wa mwaka mpya 2012 ulikuwa wa kipekee kwa DJ Summer,ambaye anapiga mzigo katika Club ya The Stone na mshindi wa st8 muzik DJ competition 2011' baada ya kuua ndege wawili kwa jiwe moko..,
  HOW IT STARTED
Mnamo saa sita kamili Meneja wa The STONE CLUB DJ Ally Coco na mwanadashosti walipanda on Stage na kufungua Champagne kama ishara ya kuukaribisha Mwaka 2012,
      Baada ya mda Cake iliwekwa kati na kukatwa na Summer kisha kuwalisha marafiki waliohudhuria huku wakimuimbia Happy Birthday Song...'
      Ney alikuwa wa mwisho kulishwa Cake,katika hali ya kushangaza aliombwa kufumba macho na DJ Ally B,Summer akaletewa pete na kumvalisha mwanadashosti  ambae alionekna kutoamini...!na machozi kumlenga machoni mwaake...!!
MWANZA RAINBOW TUNASEMA:
Kumvalisha mpenzi wako pete ya uchumba ni ishara ya nia njema kwake,hinyo ni bora na heshima kama mtaitunza ahadi mliyopeana mbele ya mashabiki kibao walioshuhudia mpango mzima...!