Sunday, January 1, 2012

Dj Summer aua ndege wawili kwa jiwe moja..!Mkesha wa mwaka mpya

 cake nzuri iliyoandaliwa mahsusi kwa ajiri ya birthday ya DJ Summer...!
 Bonge ya Saplaiz  amfanyia mchumba wake Ney
 Hug me mpenzi Chocolate

DJ Ally B,akikisanua kabla ya dakika tano kuelelekea mwaka mpya 2012...!!


      Usiku wa mkesha wa mwaka mpya 2012 ulikuwa wa kipekee kwa DJ Summer,ambaye anapiga mzigo katika Club ya The Stone na mshindi wa st8 muzik DJ competition 2011' baada ya kuua ndege wawili kwa jiwe moko..,
  HOW IT STARTED
Mnamo saa sita kamili Meneja wa The STONE CLUB DJ Ally Coco na mwanadashosti walipanda on Stage na kufungua Champagne kama ishara ya kuukaribisha Mwaka 2012,
      Baada ya mda Cake iliwekwa kati na kukatwa na Summer kisha kuwalisha marafiki waliohudhuria huku wakimuimbia Happy Birthday Song...'
      Ney alikuwa wa mwisho kulishwa Cake,katika hali ya kushangaza aliombwa kufumba macho na DJ Ally B,Summer akaletewa pete na kumvalisha mwanadashosti  ambae alionekna kutoamini...!na machozi kumlenga machoni mwaake...!!
MWANZA RAINBOW TUNASEMA:
Kumvalisha mpenzi wako pete ya uchumba ni ishara ya nia njema kwake,hinyo ni bora na heshima kama mtaitunza ahadi mliyopeana mbele ya mashabiki kibao walioshuhudia mpango mzima...!





No comments:

Post a Comment