Tuesday, December 13, 2011

Fashion in Mwanza

Fashion industry  inazidi kukua kwa kasi katika jiji la Mwanza,Models kutoka MWANZA RAINBOW ACADEMY OF ART,during photo shooting.J-model,Jessy and Ritchie.I hope ni channel nyingine nzuri kwa makampuni na wafanya biashara jijini Mwanza kuwatumia katika kutangaza bidhaa zao...!

No comments:

Post a Comment