Tuesday, December 27, 2011

Linah on STAGE na Mwana FA wa MWANZA




Linah a.k.a ndege mnana kutoka THT,ndani ya Villa Park Resort alizua SHANGWE ghafla kwa mashabiki waliohudhuria show pale alipotaka kuperform nyimbo alioimba na Mwana FA "YALAITI"
 Huku akitumia mfumo wa PLAY BACK aliomba mtu mmoja apande on stage na aimbe sehemu ya FA,ndipo  mchizi alipopanda na kuanza kuchezesha taya huku akitupia swaga za FA,Crowd iliripuka baada ya mchizi kumbambia Linah..!!
   Sauti  ya Linah haikumpa Support  hata kushindwa kuimba live kama ilivyo ada yake..!aliomba radhi kwa sauti kumgomea na  mashabiki  walionekana kumuelewa.

No comments:

Post a Comment