Monday, December 12, 2011

Statue ya samaki aina ya SATO

Sanamu ya samaki huyu imekuwa kivutio kikubwa jijini Mwanza,na sehemu ya kitega uchumi kwa vijana wapiga picha,Wageni mbalimbali kutoka nje ya jiji la Mwanza hupiga picha eneo hili kama kumbukumbu kuwa walikuwa ROCK CITY.Pia Kwaya na harusi hutumia sehemu hii...!!

No comments:

Post a Comment