Tuesday, December 27, 2011

IZO B na Barnaba wakisanua Villa Park pia...!!




Wakati Barnaba akitoka stage kuwarusha mashabiki na track kama Daima Milele,Tulizana na ngoma nyingine kali huku masista duu kibao wakioneka kupagawa na  ngoma zake pamoja na presentation bab kubwa,
    Izo B nae alikisanua na ngoma kama Miss Business,Business na Naongea na Ridhiwan ngoma ambayo ilifanya watu kumtunza kwa pesa,huku akiendeleza harakati za kuitambulisha track mpya BARUA,ambayo ni muendelezo wa RIDHIWANI...!!!

No comments:

Post a Comment