Friday, December 16, 2011

SAFARI YA MTOTO KADIBO, in the making

  1. Nasimento,Kadibo na Bomba wakiwa  mtaani wakiaomba katika daladala,Moja ya ratiba zao za kila siku katika harakati za kujipatia mkate wa kila siku.
  2. Kisteza na mwezake wakifuta magari mtaani pia katika mishe za kusaka mahela.
  3. Director Souzy'mwenye boom'na Barry "mweny Camera-creative director wa Mwaza Rainbow.

No comments:

Post a Comment