Thursday, January 26, 2012

ONE LUV FX WAZINDUA VIDEO YA SAL-MO "WAONYESHE"


Ezden the ROCKER,Radio presenter at Kiss Fm ndie aliekuwa akiendesha mpango mzima wa uzinduzi wa video ya "WAONYESHE"Katikati ni Mwanadada alieuza nyago katika video hiyo na wa kwanza kulia ni Director/Editor wa ONE LOVE FX SHAIBU.

 Steve kutoka Barmedas.tv akichukua matukio
.Hypa'director,editor na filmmaker katika Kampuni ya One Love Fx pembeni na Zombi mwenye mic'akitoa maoni juu ya video hiyo...!!
Crowd kubwa ya fanz wa muziki huu wa Bongo fleva ilijitokeza kushow luv..!!!
Meneja wa The Stone Club'ALLY Coco ambae pia ni mdau mkubwa wa MWANZA KWANZA alipata pia fursa ya kutoa maoni yake,pia alifikisha ombi lake ktk kampuni ya ONE LOVE FX kusaidia kutoa video ya ngoma moja kutoka MWANZA KWANZA UNIT...!!!

TIDDY HOTTER'Audio producer kutoka ONE LOVE FX wa kwanza kushoto na wa pili ni Ado Radio Presenter wakitazama ngoma katika screen kubwa iliyopo  ukumbini...!

No comments:

Post a Comment